Kipindi cha Maisha Plus kuanza kuruka tena

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari za maisha wakuu,

Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na mtangazaji maarufu Masoud Kipanya KP sasa kuanza kuruka hewani tena hivi karibuni ingawa haijawekwa wazi itakuwa kupitia kituo gani. Lakini sasa kinakuja na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu!

Ikumbukwe kipindi hiki ndio chanzo cha kuonekana kwa Mh Upendo Furaha Peneza ambaye sasa ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Haya vijana fursa ya kujifunza, kuonekana na kupata fedha hii hapa.

13188169_621701591339819_330044143_n.jpg
 
Yaani Masoud Kipanya ndio atakuwa mbunge wa viti maalum au?
 
Nikikumbuka huu mchezo ninamkumbuka Abdul, Maulidi, Charles, Steve ambao walikuwa na Upendo Peneza na wengine katika maisha plus ya kwanza.
 
Kipindi cha Maisha Plus kilikuwa kile kile cha kwanza ndicho kilileta msisimko baada ya hapo watu wakawa hawana time nacho tena kama ilivyo kwa Bongo Star Search ilivyopoteza msisimko.
 
Habari za maisha wakuu,

Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na mtangazaji maarufu Masoud Kipanya KP sasa kuanza kuruka hewani tena hivi karibuni ingawa haijawekwa wazi itakuwa kupitia kituo gani. Lakini sasa kinakuja na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu!

Ikumbukwe kipindi hiki ndio chanzo cha kuonekana kwa Mh Upendo Furaha Peneza ambaye sasa ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Haya vijana fursa ya kujifunza, kuonekana na kupata fedha hii hapa.

View attachment 346484
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Kama unaumia kuwakosa bungeni zile kelele za nileteeni rashidiiiii mlikuwa mnazitoa zanini,bora kukaa kimya kuficha ujinga wako,ww ni mtu mzima lakini akili umekosa sikufichi.Mlitaka bunge la kijani mmepewa bado mnalia au mnahitaji na wanawake wa CHADEMA muwaambukize na UKIMWI.?
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P

Mzee unazeeka vibaya, unaweweseka na nini kila uzi kupaste kilio chako kwa CHADEMA.!

Hivi, unapata usingizi na hata kuhudumia ndoa yako kweli?
 
Back
Top Bottom