Mshikaji akakimbilia sikonge kwa nyuki wa mtoto wa mkulima.Kipindi kilichokosa msisimko na mipango endelevu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshikaji akakimbilia sikonge kwa nyuki wa mtoto wa mkulima.
Habari za maisha wakuu,
Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na mtangazaji maarufu Masoud Kipanya KP sasa kuanza kuruka hewani tena hivi karibuni ingawa haijawekwa wazi itakuwa kupitia kituo gani. Lakini sasa kinakuja na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu!
Ikumbukwe kipindi hiki ndio chanzo cha kuonekana kwa Mh Upendo Furaha Peneza ambaye sasa ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.
Haya vijana fursa ya kujifunza, kuonekana na kupata fedha hii hapa.
View attachment 346484
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Kama unaumia kuwakosa bungeni zile kelele za nileteeni rashidiiiii mlikuwa mnazitoa zanini,bora kukaa kimya kuficha ujinga wako,ww ni mtu mzima lakini akili umekosa sikufichi.Mlitaka bunge la kijani mmepewa bado mnalia au mnahitaji na wanawake wa CHADEMA muwaambukize na UKIMWI.?Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P