luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Shabaaash yaan tena una justify haramu iwe haki..yaannunatapeliwa pesa ww unasema eti tukitumiwa ujumbe tuna lalama hovyo sanaaa wwWakikimbia wewe utafaidika na nini mzee? serikali yenyewe haitoi ajira, mkitumiwa sms ya "ile hela tuma kwenye namba hii" mnalalamika,achani watu wapambanie mkate bhana,kwani wivu hauna maana.
Tatizo siyo kulipa kodi ndugu....tatizo umesema watozwe kodi ili wakimbie...which means unataka kodi ya kuwa discourage,kama iwekwayo kwenye Sigara na Pombe...labda ufute kauli yako ya kuambatanisha kodi na wao kukimbia.Shabaaash yaan tena una justify haramu iwe haki..yaannunatapeliwa pesa ww unasema eti tukitumiwa ujumbe tuna lalama hovyo sanaaa ww
Mawazo yangu kwa wao kulipa kodi ni sehemu ya kuwapa tabasamu wadaawa
Ndio ikiwekwa kodi wengine wata kimbia, kwan uongoTatizo siyo kulipa kodi ndugu....tatizo umesema watozwe kodi ili wakimbie...which means unataka kodi ya kuwa discourage,kama iwekwayo kwenye Sigara na Pombe...labda ufute kauli yako ya kuambatanisha kodi na wao kukimbia.
Wakilipwa mishahara yao hua inakatwa kodi mkuu,Ndio ikiwekwa kodi wengine wata kimbia, kwan uongo
Iyo ni PAE, ss mm napendekeza kodi ya uchambuzi wa soka ππ maana una kuta wengine wana kqndia maendeleo ya vilabu kwa kuzua chokochoko ..mfano yule tenge akiqnza kushupalia issue ya FCC ma lion yaan mpaka matee yana mkauka ...ila lengo lake yy ni kuona mambo hayaendi mswanoWakilipwa mishahara yao hua inakatwa kodi mkuu,
Wewe umejuaje anataka mambo yasiende?Iyo ni PAE, ss mm napendekeza kodi ya uchambuzi wa soka ππ maana una kuta wengine wana kqndia maendeleo ya vilabu kwa kuzua chokochoko ..mfano yule tenge akiqnza kushupalia issue ya FCC ma lion yaan mpaka matee yana mkauka ...ila lengo lake yy ni kuona mambo hayaendi mswano