luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Shabaaash yaan tena una justify haramu iwe haki..yaannunatapeliwa pesa ww unasema eti tukitumiwa ujumbe tuna lalama hovyo sanaaa wwWakikimbia wewe utafaidika na nini mzee? serikali yenyewe haitoi ajira, mkitumiwa sms ya "ile hela tuma kwenye namba hii" mnalalamika,achani watu wapambanie mkate bhana,kwani wivu hauna maana.
Mawazo yangu kwa wao kulipa kodi ni sehemu ya kuwapa tabasamu wadaawa