Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Dah sitasahau kale ka kauli ka HIZI NI HARAKATI ilikuwa mida ya usiku wakati huo niko na maza jikoni anapika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna jamaa alikua anaitwa Ezekiel malongo hapa ni hatari enzi hizo nlikua mshabiki hatari wa yanga sjui ushabiki ule uliishia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa shabiki wa Yanga kipindi hicho mpaka leo.Wewe ulikuwa shabiki wa plastic nini?Why umehama Yanga?Kuna jamaa alikua anaitwa Ezekiel malongo hapa ni hatari enzi hizo nlikua mshabiki hatari wa yanga sjui ushabiki ule uliishia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ilikuwa saa mbili kasoro robo kama sikosei,hapo nipo karibu kabisa na Baba tunasikiliza michezo.Ninaumiss ile utoto jamani.Hapo kina Edibily Jonas Lunyamila,Sekilojo chambua wametoka kumuadhibu mnyama.
Sikumbuki mtangazaji wala fundi mitambo kwa kweli.But huo music naukumbuka.