Kipindi cha michezo redio Tanzania enzi hizo

Kipindi cha michezo redio Tanzania enzi hizo

Wala senene wabebeshwa mikungu ya ndizi nane bila malipo!!

Yanga 8 kagera stars 0

Edibily Jonas Lunyamila akitupia goli sita peke yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sitasahau kale ka kauli ka HIZI NI HARAKATI ilikuwa mida ya usiku wakati huo niko na maza jikoni anapika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapa ilikuwa saa mbili kasoro robo kama sikosei,hapo nipo karibu kabisa na Baba tunasikiliza michezo.Ninaumiss ile utoto jamani.Hapo kina Edibily Jonas Lunyamila,Sekilojo chambua wametoka kumuadhibu mnyama.
 
Ninazo hizo nyimbo zilizokua zinatumika kwenye vipindi RtD
 
Huyu wa juzi


Kulikuwa na


Omary Jongo

Ahamed Jongo

Dominic Chilambo

Charles Hilari

Abdalaha Majura

Abubary Lyongo

Ben Kiko


Huwezi kutamani kukosa kuwasikiliza

Ukiwakosa kuwasikiliza ni kama siku yako imepotea bure
Kuna jamaa alikua anaitwa Ezekiel malongo hapa ni hatari enzi hizo nlikua mshabiki hatari wa yanga sjui ushabiki ule uliishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malima Nderema, alikuwa na mbwembwe sana

Sued Mwinyi, napenda sana akitangaza mpira tangu enzi hizo

Dominick Chilambo (marehemu), muasisi wa jina TP Lindanda, Pamba ya Mwanza wakati huo ikiwa on fire
 
Back
Top Bottom