Kipindi cha miezi 6 wawekezaji wamevunja rekodi ya kuja wengi nchini

Sabreena juma

New Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
3
Reaction score
6
KIPINDI CHA MIEZI 6 WAWEKEZAJI WAMEVUNJA REKODI YA KUJA WENGI NCHINI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miezi sita ikiwa ni kuanzia mwezi Machi hadi Agosti, 2021, idadi ya wawekezaji wanye nia ya kutaka kuweza nchini imeongezeka.

Mheshimiwa Rais Samia ameyasema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akisalimiana na wananchi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofika kumpokea katika eneo la Chinangali, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofika kumpokea katika eneo la Chinangali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26, 2021.

Amefafanua kuwa, kuna miradi ambayo hawakujua kuwa wawekezaji wanakuja,hivyo miradi hiyo itatekelezwa kama ilani ilivyoeleza na miradi mingine ilani inaeleza wawekezaji watafutwe.

“Ilani ilitutuma tutafute wawekezaji waje kuwekeza, nami nataka kuwaambia wawekezaji tumepata wengi mno. Lakini niwaambie kwamba katika kipindi cha miezi sita kumekuwa na idadi kubwa ya wawekezaji ambao wanataka kuwekeza Tanzania. Kati ya hao tuna kiwanda cha mbolea kinachoendelea kujengwa hapa Dodoma. Nawaahidi na wengine watakuja,” amesisitiza Rais Samia.

Hivi karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Geoffrey Mwambe, akiongea na vyombo vya habari juu ya juhudi zinazofanywa na ofisi hiyo, pamoja na taasisi zake katika kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji nchini, aliutaja mradi wa uwekezaji wa kimkakati wa Kampuni ya ITRACOM FERTILIZERS LIMITED unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa vazi la kimila na wazee wa kimila wa Kabila la Kigogo wenye asili ya Dodoma wilayani Chamwino kama ishara ya ukaribisho mara baada ya kuwasili Chamwino Ikulu akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26,2021.

Mzee wa Kimila wa Kabila la Kigogo Wilayani Chamwino mkoani Dodoma, Bw. Goden Wenga akimkabidhi Ngao na Mkuki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kama ishara ya ukaribisho mara baada ya kuwasili Chamwino Ikulu akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26,2021. (Picha zote na Ikulu).

Amefafanua kuwa, mradi huo, utazalisha mbolea asilia. Mradi huo una mtaji wa Dola za Marekani milioni 180 na unatarajiwa kuzalisha ajira 3000. Mradi huo utaingiza fedha za kigeni na utaongeza kipato kwa wananchi na mapato ya serikali kupitia kodi.

Mhe. Mwambe alibainisha kuwa katika kipindi cha mwezi Machi hadi Agosti, 2021 jumla ya miradi 133 imesajiliwa ikilinganishwa na miradi 105 iliyosajiliwa katika kipindi hicho mwaka 2020 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 27.

Miradi iliyosajiliwa katika kipindi hicho inatarajiwa kuzalisha ajira 29,709 ikilinganishwa na ajira 8,252 zilizotarajiwa kuzalishwa katika kipindi hicho mwaka 2020. Miradi hiyo ipo katika Sekta ya Kilimo, ujenzi/majengo ya biashara, nishati, Miundombinu ya kiuchumi, Taasisi za fedha, rasilimali watu, viwanda, usafirishaji, utalii na huduma.

Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji pamoja na Taasisi zake inaendelea kuwahakikishia wawekezaji kuwa itaendelea kuratibu masuala ya uwekezaji ili kuhakikisha wanakuwa na mazingira wezeshi ya uwekezaji.
 
Tatizo si wawekezaji. Huyu mama anahitaji mshauri mwingine si the failure kikwet,. Anahitaji kuwa na competent negotiation team ambayo licha ya kuona na kuelewa, iwe na uwezo wa kimkakati na kujali maslahi mapana ya taifa. Kama alishindwa kuona hila za wachina pamoja na kuona mataifa mbali mblai yananyolewa lakini yeye anajipendekeza kuwapa mali zetu ili aonekane bora kwamba ana karibisha urafiki, NINAPATA MASHAKA MAKUBWA NA MIKATABA YA HAO WAWEKEZAJI, KAMA MAMBO HAYA YANASIMAMIWA NA MISOSGA. TANZANIA TUNANYOLEWA BILA MAJI.
 
Hizi si habari za heri hata kidogo!! Ni "scramble for Tanzania"!! Mabeberu yameona mwanya wa kunyonyea!! Tuwe macho!!
 
Tatizo si wawekezaji. Huyu mama anahitaji mshauri mwingine si the failure kikwet,. Anahitaji kuwa na competent negotiation team ambayo licha ya kuona na kuelewa, iwe na uwezo wa kimkakati na kujali maslahi mapana ya taifa. Kama alishindwa kuona hila za wachina pamoja na kuona mataifa mbali mblai yananyolewa lakini yeye anajipendekeza kuwapa mali zetu ili aonekane bora kwamba ana karibisha urafiki, NINAPATA MASHAKA MAKUBWA NA MIKATABA YA HAO WAWEKEZAJI, KAMA MAMBO HAYA YANASIMAMIWA NA MISOSGA. TANZANIA TUNANYOLEWA BILA MAJI.
Mnaumia sana kwa chuki zenu kwa JK. Lakini mkae mkijua JK yuko juu sana na hata mkusanyane koo zenu zote hakuna siku mtaweza kumshusha....
 
Mungu amjaalie Rais Ili waje wengi maana Hali ya uchumi sio nzuri.

Huwa napenda kusema miaka 6 iliyopita tulipoteza tukaambulia propaganda ilhali idadi ya Maskini ikiongezeka.
 
Tatizo si wawekezaji. Huyu mama anahitaji mshauri mwingine si the failure kikwet,. Anahitaji kuwa na competent negotiation team ambayo licha ya kuona na kuelewa, iwe na uwezo wa kimkakati na kujali maslahi mapana ya taifa. Kama alishindwa kuona hila za wachina pamoja na kuona mataifa mbali mblai yananyolewa lakini yeye anajipendekeza kuwapa mali zetu ili aonekane bora kwamba ana karibisha urafiki, NINAPATA MASHAKA MAKUBWA NA MIKATABA YA HAO WAWEKEZAJI, KAMA MAMBO HAYA YANASIMAMIWA NA MISOSGA. TANZANIA TUNANYOLEWA BILA MAJI.
We ni mpumbavu tueleze wewe ambae ulikuwa na Mwendazake wawekezaji kipindi chenu walikuwa wangapi? Maana a unaropoka wakati mliua uchumi si kilimo si biashara..

Halafu ulivyo fala kipindi cha JK uchumi ulikuwa vizuri pesa ilikuwepo na biashara zilikuwa zinaenda na watu walipenda kujiajiri badala ya kuajiriwa lakini nyie mbumbumbu mliharibu kila kitu.

Takwimu kama hizi kwenu zilikuwepo?👇

Screenshot_20210921-102138.png
 
KIPINDI CHA MIEZI 6 WAWEKEZAJI WAMEVUNJA REKODI YA KUJA WENGI NCHINI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miezi sita ikiwa ni kuanzia mwezi Machi hadi Agosti, 2021, idadi ya wawekezaji wanye nia ya kutaka kuweza nchini imeongezeka.

Mheshimiwa Rais Samia ameyasema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akisalimiana na wananchi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofika kumpokea katika eneo la Chinangali, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofika kumpokea katika eneo la Chinangali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26, 2021.

Amefafanua kuwa, kuna miradi ambayo hawakujua kuwa wawekezaji wanakuja,hivyo miradi hiyo itatekelezwa kama ilani ilivyoeleza na miradi mingine ilani inaeleza wawekezaji watafutwe.

“Ilani ilitutuma tutafute wawekezaji waje kuwekeza, nami nataka kuwaambia wawekezaji tumepata wengi mno. Lakini niwaambie kwamba katika kipindi cha miezi sita kumekuwa na idadi kubwa ya wawekezaji ambao wanataka kuwekeza Tanzania. Kati ya hao tuna kiwanda cha mbolea kinachoendelea kujengwa hapa Dodoma. Nawaahidi na wengine watakuja,” amesisitiza Rais Samia.

Hivi karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Geoffrey Mwambe, akiongea na vyombo vya habari juu ya juhudi zinazofanywa na ofisi hiyo, pamoja na taasisi zake katika kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji nchini, aliutaja mradi wa uwekezaji wa kimkakati wa Kampuni ya ITRACOM FERTILIZERS LIMITED unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa vazi la kimila na wazee wa kimila wa Kabila la Kigogo wenye asili ya Dodoma wilayani Chamwino kama ishara ya ukaribisho mara baada ya kuwasili Chamwino Ikulu akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26,2021.

Mzee wa Kimila wa Kabila la Kigogo Wilayani Chamwino mkoani Dodoma, Bw. Goden Wenga akimkabidhi Ngao na Mkuki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kama ishara ya ukaribisho mara baada ya kuwasili Chamwino Ikulu akitokea jijini Dar es Salaam leo Septemba 26,2021. (Picha zote na Ikulu).

Amefafanua kuwa, mradi huo, utazalisha mbolea asilia. Mradi huo una mtaji wa Dola za Marekani milioni 180 na unatarajiwa kuzalisha ajira 3000. Mradi huo utaingiza fedha za kigeni na utaongeza kipato kwa wananchi na mapato ya serikali kupitia kodi.

Mhe. Mwambe alibainisha kuwa katika kipindi cha mwezi Machi hadi Agosti, 2021 jumla ya miradi 133 imesajiliwa ikilinganishwa na miradi 105 iliyosajiliwa katika kipindi hicho mwaka 2020 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 27.

Miradi iliyosajiliwa katika kipindi hicho inatarajiwa kuzalisha ajira 29,709 ikilinganishwa na ajira 8,252 zilizotarajiwa kuzalishwa katika kipindi hicho mwaka 2020. Miradi hiyo ipo katika Sekta ya Kilimo, ujenzi/majengo ya biashara, nishati, Miundombinu ya kiuchumi, Taasisi za fedha, rasilimali watu, viwanda, usafirishaji, utalii na huduma.

Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji pamoja na Taasisi zake inaendelea kuwahakikishia wawekezaji kuwa itaendelea kuratibu masuala ya uwekezaji ili kuhakikisha wanakuwa na mazingira wezeshi ya uwekezaji.
Uwongo mtupu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Wameokota Dodo kwenye mbigili kwa nini wasiwahi?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
We ni mpumbavu tueleze wewe ambae ulikuwa na Mwendazake wawekezaji kipindi chenu walikuwa wangapi? Maana a unaropoka wakati mliua uchumi si kilimo si biashara..

Halafu ulivyo fala kipindi cha JK uchumi ulikuwa vizuri pesa ilikuwepo na biashara zilikuwa zinaenda na watu walipenda kujiajiri badala ya kuajiriwa lakini nyie mbumbumbu mliharibu kila kitu.

Takwimu kama hizi kwenu zilikuwepo?👇

View attachment 1954620
Pesa ipi? Ulikuwa uchumi feki!
 
Akili zako zinaishia kwenye makamasi yako. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaona wingi wa wawekezaji wasiomsaidia . Pumbavu sana jitu wewe.
 
Back
Top Bottom