Kipindi cha Mizani TBC kwa nini leo Novemba 20, 2024 Dkt. Ryoba hajakiongoza?

Kipindi cha Mizani TBC kwa nini leo Novemba 20, 2024 Dkt. Ryoba hajakiongoza?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili

Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Naamini kabisa kuwa aidha Dr Ryoba kakimbia kipindi kuepuka lawama au kaambiwa asiendeshe kipindi leo. Hawa wageni kiukweli ukiwasikiloza tu unaona kabisa hawakwepi lawama zinazohusika na kuenguliwa kwa upinzani. Sasa najua Dr. anvewabana sana na mwisho serikali ingeaibika.

Nampa changamoto Dr aje kukanusha hili. Hawa wageni ndio kiini cha yote haya tuliyosikia. Naamini kwa Dr kukosekana kwenye kipindi.hatuwezi kupata kile kilichotarajiwa
 
Back
Top Bottom