ukiona program ya tv inakuboaa syo lazima kuangaliaa .....kna watu wengine wanapendaa kuangaliaa burudani na kuna wengine wanapenda kuangalia vipindi vya siasa domo domo makelele tu....kila mtu ana haki kutazama kitu anachopenda
Kipindi ni cha AY salama, Josh na wengine ni kama waajiriwa tu kwenye ile show.. Kuhusu maudhui ya kipindi ni kubudisha kama ilivyo hot mix, in my shoes, diary ya jide n.k