Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

ukiona program ya tv inakuboaa syo lazima kuangaliaa .....kna watu wengine wanapendaa kuangaliaa burudani na kuna wengine wanapenda kuangalia vipindi vya siasa domo domo makelele tu....kila mtu ana haki kutazama kitu anachopenda
 
Mkishayajua maisha yao yatawasaidia nini? Badala ya kuangalia maisha yenu yaliyogeuzwa mzigo na serikali ya magamba?

Watu wanamaisha wewe bwanamdogo kipimo cha maisha kwko ni nini? Wanaoangalia icho kipind wote hawana maisha?
 
Umeshindwa kuelimishwa na babaako ndo uelimishwe na Salama?
 
Kipindi ni cha AY salama, Josh na wengine ni kama waajiriwa tu kwenye ile show.. Kuhusu maudhui ya kipindi ni kubudisha kama ilivyo hot mix, in my shoes, diary ya jide n.k
 
Back
Top Bottom