Kipindi cha Mkasi kimefikia tamati!!??

Kipindi cha Mkasi kimefikia tamati!!??

Hivi Salama ni mwanadada?
sina uhakika...
1465918329283-jpg.356548

ila nimuonavyo mimi ni mwanamke sijui wewe mwenzangu macho yako yatamuonaje.
 
Bongo kuna star gani? Hebu watajeni. Sema kuna watu maarufu kina kingwendu, wemasepenga, wolper nk
ivi kumbe kunatofauti kati ya s.star na maarufu.??

challenge na changamoto, nadhan nazo zinatofauti asee[emoji15] [emoji15]
 
Michael jackson ni star na wolper ni celebrity tu aka maarufu NO04
 
Michael jackson ni star na wolper ni celebrity tu aka maarufu NO04
Hapa mimi naona ni kama unajaribu kuwakatisha tamaa watu maarufu wa kinyumbani!!

Na hii si sawa! Unataka kuniambia hata Nyoshi el saadat au bwana Christian Bella nao si miongoni mwa mastar hapa tanzania!!?
 
Ndio sifa za star!!! Ngonepi
Kuna matajiri na ambao si mastar! Mfano Drug dealers!!
Kuna wasio na hela lakini ni mastar mfano Mr. NICE huyu mtz!!

Sasa hapa ustar haujataja kwamba ni mpaka ukifikisha idadi ya watu wangapi wanaokufahamu au kukujua!! Ili mradi tu wawe wengi, na woote tunajua kwamba wengi wanaaanzia na wawili!!

Tofauti ya nyota hata kule angani huwa zinazidiana kung`aa!! So Michael Jackson anamzidi Chidi Benz kwa kunga`aa lakini wote ni mastaa!! Hah ha ha haaa!!
 
Niliona Salama akihojiwa BBC, kuhusu uendeshaji wa kipindi chake cha mkasi, akapewa na sifa kedekede!
Sifa zinaua oooh!
 
ivi kumbe kunatofauti kati ya s.star na maarufu.??

challenge na changamoto, nadhan nazo zinatofauti asee[emoji15] [emoji15]
Yeah tofauti ipo mkuu, SUPERSTAR NA CELEBRITY.
Bongo wengi ma celeb ila mastaa wachache mno!
 
Back
Top Bottom