Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

PerKnot

Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
69
Reaction score
87
Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho.

Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika.

Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya zoezi la kuozesha udongo wako kwaajili ya kuchenjua dhahabu kiwa wataratibu kwani nguvu ya jua na hewa ya oksije i kuwa kidogo,hii hasa hutokea kwa wale wanaotumia kemikali ya Sodium Cynide.

Je,NINI KIFANYIKE ILINKUONGEZA UZALISHAJI WA DHAHABU KIPINDI CHA MVUA.
Nashauri matumizi ya kemikali ya CNLITE
Kemikali hii haihiitaji kuongeza ph , hydrogen peroxide ili kuboost uchenjuaji ,bali ipo kikamilifu na ,huchenjua dhahabu kwa haraka sana.

Pia, CNLITE ,kemikali hii sio sumu hatari kama ilivyo kwa sainaid( cynide)

Karibu tukuhudumie.
CNLITE- TANZANIA
Makumbusho-Dar es salaam
Contact: 0754763364
 
Chemical formula please.

Una COA yake au datasheet.
 
Naomba tuwasiliane tafadhali kwa hiyo no apo juu
Hapa ndipo mnapo feli madalali wa kiTanzania.
Yaani badala ya kujibu swali, unaanza mambo ya kuitana pembeni.
Unajuaje palikua na mteja mwingine mwenye swali la kufanana na ulilo ulizwa..??
Hauoni kwamba utakua umepunguza baadhi ya maswali ikiwa utaweka majibu hapa hapa kama ulivyo andika tangazo lako..??
 
Hapa ndipo mnapo feli madalali wa kiTanzania.
Yaani badala ya kujibu swali, unaanza mambo ya kuitana pembeni.
Unajuaje palikua na mteja mwingine mwenye swali la kufanana na ulilo ulizwa..??
Hauoni kwamba utakua umepunguza baadhi ya maswali ikiwa utaweka majibu hapa hapa kama ulivyo andika tangazo lako..??h

Hapa ndipo mnapo feli madalali wa kiTanzania.
Yaani badala ya kujibu swali, unaanza mambo ya kuitana pembeni.
Unajuaje palikua na mteja mwingine mwenye swali la kufanana na ulilo ulizwa..??
Hauoni kwamba utakua umepunguza baadhi ya maswali ikiwa utaweka majibu hapa hapa kama ulivyo andika tangazo lako..??
Lengo langu ni kukupa maelezo ya kina .Juu ya mahitaji yako ,na si vinginevyo.Naamini zaidi katika lugha ya mazungumzo kuliko uandishi.
Pia ,nikikujibu hapa hapa ni vizuri ,ila ulinzi wa biashara yangu pia.
 
Ulinzi wa biashara wakati umeweka mtandaoni? Si ungefungia stoo, hii ni dunia ya utandawazi na kufanya biashara online. Ukiweka kitu weka details za kila kitu, mtu akikutafuta anauliza tu vp umepokea pesa tafadhali tuma mzigo mapema
 
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom