Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiWanasema cycle ya mwanamke ni siku 28 ,then kiurahisi tu wiki ina siku 7,kwakuwa miezi yote ina wiki nne itakuwa na siku 7×4 =28 days.
Tunapata wapi siku ya 29, 30 na 31?Wanasema cycle ya mwanamke ni siku 28 ,then kiurahisi tu wiki ina siku 7,kwakuwa miezi yote ina wiki nne itakuwa na siku 7×4 =28 days.
Sawia kabisa Mkuu.Ndio maana mwezi ndio kipindi pekee ambacho hakilingani january si sawa na april wala february kwahiyo kuna ujanja mahali
Naona umejitahidi asante kwa uchambuzi,swali ni kwamba imeshindikana kuwepo uniform length ya mwezi kama ilivyo kwa siku,saa ,miaka,na wiki ambazo zote zina urefu sawa......hilo ndio linalonitatizaNadhani hapa swali ni kwanini miezi inatofautiana idadi ya siku.
Anyway mimi najua kwanini February nyingine zina siku 28 ilhali nyingine zina siku 29.
Jambo hili limefanyika makusudi kwenye design ya Gregorian calendar kwasababu dunia inatumia siku 365¼ kulizunguka jua. Lakini wasingeweza wakaweka robo siku kwenye design ya calendar lakini pia wange round-off iwe siku 365 au 366 kamili kila mwaka basi hiyo tofauti ya robo siku ingekuja kusababisha misimu (kiangazi, masika, autumn na spring) ipishane miezi. Yani, lets say mwaka huu masika inaanza December, ila baada ya miaka 200 ile tofauti ya robo siku inakua imeusogeza mbele/nyuma msimu huo kwa siku 50 kwahiyo 200 years later masika inakuwa inaanza say March au September (misimu haitegemi tarehe, binadamu ndio tume engineer tarehe ziendane na misimu) Hii inconsistency ingeleta shida sana kwa civilization ndio maana kila baada ya miaka minne wakaongeza siku moja nzima kwenye calendar (February 29) ili kunyoosha mambo.
Hilo neno au ndo linampa shida mtoa mada, je mwezi una siku ngapi? Hili ndo swaliMwezi una siku 27 au 28 ndio muda ambao mwezi huchukua kuzunguka dunia
Huo mwezi wa tarehe ulitengenezwa tu