Kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi by Salama Jabir

Kipindi cha Ngazi Kwa Ngazi by Salama Jabir

alinisikitisha aliposema tusimpe idea,sasa sijui alikuwa anataka ushuri wa aina gani?...frankly speaking,kile kipind zaidi ya nguvu kubwa ya josh ya ghraphics na idea ya upangaji wa eneo la nyumba...content za kipindi sio level ya kufanywa na wao...its a teen program!

umewapa wazo zuri kunasehemu niliwapa wazo kama hili kwa barua pepe,naona walihisi na wapinga...lakin Mkasi Tv show was the best ilikuwa kuiboresha na kuhoji watu wengine ata wamataifa ya east africa wanaonge kiswahili.. anyway naona huyu mpemba/munguja mbishi kweli
 
Salama bora astaafu tu hizi mambo za media personality kulinda heshima yake.
 
Niliipenda kaptura yake, kwa kweli alinisaidia kufurahi na wife maana ulikuwa ndio wakati.
 
Bora hiki.vpindi vya design ya mkasi vpo vngi kila TV station, hakikuwa na jipya tena .ajitahd kuboresha kiwe tofauti na vpindi vingine.
 
Back
Top Bottom