Nimesikiliza yaani nimeogopa vya kutosha duh!! Lkn aliyoyasema nimeshawahi kuyasikia! Hii dunia tusio haina ni mengi sana
Mleta uzi anadhani wote tumesikiliza hiyo njiapanda!! Tupe kidogo' kilichokufanya uanzishe huu uzi ili tupate pakuanzia ambao hatujasikiliza hiyo njiapanda..Tupen umbea bas na sisi
Kwa kifupi jamaa alikuwa anaelezea historia yake jinsi alivyokuwa anasaka maisha mazuri kwa kuanzia ujambazi had kuja kutumia njia za kishirikina hadi kufikia kumuua mtto wake kuchukuwa watu misukule, kula nyama za watu had kuruka na ungo pia hata kusababisha ajali za barabaran kutumia njia za kichawi, kushuka kuzimu daa naomba mwingine aliyeckiliza aendelee kuweka ambavyo cjawekaMleta uzi anadhani wote tumesikiliza hiyo njiapanda!! Tupe kidogo' kilichokufanya uanzishe huu uzi ili tupate pakuanzia ambao hatujasikiliza hiyo njiapanda..
Kwa kifupi jamaa alikuwa anaelezea historia yake jinsi alivyokuwa anasaka maisha mazuri kwa kuanzia ujambazi had kuja kutumia njia za kishirikina hadi kufikia kumuua mtto wake kuchukuwa watu misukule, kula nyama za watu had kuruka na ungo pia hata kusababisha ajali za barabaran kutumia njia za kichawi, kushuka kuzimu daa naomba mwingine aliyeckiliza aendelee kuweka ambavyo cjaweka
Kwa kifupi jamaa alikuwa anaelezea historia yake jinsi alivyokuwa anasaka maisha mazuri kwa kuanzia ujambazi had kuja kutumia njia za kishirikina hadi kufikia kumuua mtto wake kuchukuwa watu misukule, kula nyama za watu had kuruka na ungo pia hata kusababisha ajali za barabaran kutumia njia za kichawi, kushuka kuzimu daa naomba mwingine aliyeckiliza aendelee kuweka ambavyo cjaweka
Kwahiyo kashazipata hizo faranga? Hilo litakuwa kubwa jinga. Over!
binafsi sikatai suala la ku-hustle kwa staili anayoelezea bali ninachokana mimi ni yale mambo yenyewe! Mathalani, sehemu ambayo mie niliacha kumsikiliza ni pale aliposema kwamba alipewa dawa kisha akafanya tukio! Kati kati ya tukio, wajomba wakatokea... zikaanza kupigwa shaba! Jamaa akasema risasi zilikuwa zinadunda tu mwilini... RISASI? KUDUNDA MWILINI? asin'tanie... hofu yangu ni kwamba sehemu kama hizo alikuwa anachezewa viini macho tu na hao waganga wake... anajiona anapiga tukio, kumbe yupo usingizini... anajiona anakula shaba live, kumbe viini macho... unaweza kuroga vyote lakini sio risasi jombaa... kitu lethal kina-fail kupenya kwenye medium yenye mautundu ya kisayasansi lakini si haya mautundu yetu!!!Kwa wanaomjua wanasema ni kweli huyo jamaa alikuwa hivyo
binafsi sikatai suala la ku-hustle kwa staili anayoelezea bali ninachokana mimi ni yale mambo yenyewe! Mathalani, sehemu ambayo mie niliacha kumsikiliza ni pale aliposema kwamba alipewa dawa kisha akafanya tukio! Kati kati ya tukio, wajomba wakatokea... zikaanza kupigwa shaba! Jamaa akasema risasi zilikuwa zinadunda tu mwilini... RISASI? KUDUNDA MWILINI? asin'tanie... hofu yangu ni kwamba sehemu kama hizo alikuwa anachezewa viini macho tu na hao waganga wake... anajiona anapiga tukio, kumbe yupo usingizini... anajiona anakula shaba live, kumbe viini macho... unaweza kuroga vyote lakini sio risasi jombaa... kitu lethal kina-fail kupenya kwenye medium yenye mautundu ya kisayasansi lakini si haya mautundu yetu!!!