Mzalendo daima
Member
- Mar 1, 2012
- 54
- 4
Hahahhaaa wewe mkuu eti ajali ya makongo ni yeyeWe acha tu Mdau mpaka Ajali ya Juzi Makongo nikasema ndio Jamaa wametengeneza nini ? Hii Dunia hii Inamambo ya Ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaaa wewe mkuu eti ajali ya makongo ni yeyeWe acha tu Mdau mpaka Ajali ya Juzi Makongo nikasema ndio Jamaa wametengeneza nini ? Hii Dunia hii Inamambo ya Ajabu sana
Hicho kipindi kinakosa mwelekeo sasa, maana halisi ya njia panda hata siioni tena, kuna watu walikuwa wanakuja hapo na wako njia panda kweli, na wanaeleweka, na msaada pia wanapata, lakini ss hv wanakuja wahuuni tu na mistori yao ya uongo tu.