Kipindi cha njia Panda

Radio y wafu at promo.com .............
 
Hicho kipindi kinakosa mwelekeo sasa, maana halisi ya njia panda hata siioni tena, kuna watu walikuwa wanakuja hapo na wako njia panda kweli, na wanaeleweka, na msaada pia wanapata, lakini ss hv wanakuja wahuuni tu na mistori yao ya uongo tu.

Nilikuwa msikilizaji mzuri wa kipindi cha sintosahau cha RFA, na nilikuwa najitahidi sana nisipitwe kusikiliza kila jumapili,lakini baada ya kuona wanaendekeza hawa jamaa wa mazingaombwe nimepoteza ule ufuatiliaji wa kile kipindi, nina wasiwasi dokta Maro anaanza kuelekea huko.

Tuletee habari halisi na sio za mazingaombwe, kama hupati wenye stori halisi sio dhambi kurudia waliopita, hata waliokwishapitia RFA wanaweza bado kusikilizwa tena, coz naamini wapo ambao hawajawasikia.
 
Huyo jamaa namuogopa.Kama kweli alikuwa mdau wa mashetani,anatakiwa kabisa awataje kwa majina watu aliowabadili kuwa misukule na aseme alipochoma vitendea kazi vyake hao binadamu anaowaita misukule aliwapeleka wapi.Utasikia huyohuyo amekuwa mchungaji kwenye kanisa na anaponya na watu wanamfuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…