Kubali ukatae habari za kimbeya nyingi zinatoka WCB so msifikirie anguko la WCB kumbuka hata wao clouds watasheki.
Ngoja tuone mwisho wake.
hukutakiwa hata umjibu kiongozi....Duuuu haya ngoja waje.
Haaaaa kiongozi team madale wasije wakajiua si unajua washachanganyikiwa media zote zimewasusa na sie hapa tukiwasusa tutawapa wakati mgumu,ngoja tuwape moyo na kuwapa makavu wazinduke kwenye usingizi.hukutakiwa hata umjibu kiongozi....
KweliUkweli huu
Kweli mkuu kwa nini Sallam tu ndo anakuwa na mambo ya ajabu...anashindwa kujua kuwa ana haribu jina la Diamond sallam huyu huyu Amemtupa AY yupo kwa die..hakukuwa na haja ya WCB kuzozana na Media hizi media zitaendelea kuwepo na muziki utaendelea kuwepo ila mziki kwa msanii huwa unakuwa na kikomoDiamond afanye maamuzi ya busara kwa pale alipofika ni aibu yeye kuendelea kuongozwa na kina Tale na Fella.
Fella wanaume ilimshinda kwa unyonyaji wake....Yule Tale Tip Top kaitia motoni ili akajibanze kwa Dimond.
Yule Sallam kimbelembele na ujuaji wale ndio wanaharibu image ya Dimond kwa kujibizana kwenye mitandao....Ruge na Shigongo ndio waliomfikisha Dimond halipo hao wakina Fella wamedandia mafanikio tu
Kwani Diamond kashuka au kapanda kimuziki chini ya hao uliowataja?Diamond afanye maamuzi ya busara kwa pale alipofika ni aibu yeye kuendelea kuongozwa na kina Tale na Fella.
Fella wanaume ilimshinda kwa unyonyaji wake....Yule Tale Tip Top kaitia motoni ili akajibanze kwa Dimond.
Yule Sallam kimbelembele na ujuaji wale ndio wanaharibu image ya Dimond kwa kujibizana kwenye mitandao....Ruge na Shigongo ndio waliomfikisha Dimond halipo hao wakina Fella wamedandia mafanikio tu
Basi sawa wee endeleaMimi sina upande hapa, ni mwendo wa popcorn tu