Kipindi cha shilawadu kimepata umaarufu kwa kucover story za WCB

Kipindi cha shilawadu kimepata umaarufu kwa kucover story za WCB

Every thing is fair in Love and War
 
WCB hata wa anzishe Redio na Tv yao haiwezi kupima uwezo wao.. utapimaje ubora wako kwa kisikiliza nyimbo zako mwenyewe....!

Tukimzungumzia RUGE kuwa anashusha soko la Muziki pia hawa Wcb nao ni jipu kwa soko la Muziki hawataki mtu au msanii mwingine afanye vizuri zaidi yao...na ndomana leo hii soko la muziki tanzania linaonekana nila watu wachache...

WCB wabaki kwenye misingi yao kama taasisi na media nazo zibaki kwenye misingi yao..kila media ina misingi iliyo jiwekea yenyewe
umejuaje kama watasikiliza nyimbo zao tu kwani clouds wasanini wa nyimbo
 
Kubali ukatae habari za kimbeya nyingi zinatoka WCB so msifikirie anguko la WCB kumbuka hata wao clouds watasheki.
Ngoja tuone mwisho wake.

yani clouds washake kisa kipindi cha shilawadu kuacha kucover habari za WCB ?

ndugu yangu itakuwa hauna ule ubongo wa nyuma sijui wasomi huwa wanauitaje vile

enheee nimekumbuka medula....

kwa mawazo hayo itakuwa ww una ubongo wa kati na ule wa mbele tuuu
 
Diamond afanye maamuzi ya busara kwa pale alipofika ni aibu yeye kuendelea kuongozwa na kina Tale na Fella.

Fella wanaume ilimshinda kwa unyonyaji wake....Yule Tale Tip Top kaitia motoni ili akajibanze kwa Dimond.

Yule Sallam kimbelembele na ujuaji wale ndio wanaharibu image ya Dimond kwa kujibizana kwenye mitandao....Ruge na Shigongo ndio waliomfikisha Dimond halipo hao wakina Fella wamedandia mafanikio tu
Wabongo bana hahahahhaa mzaramo tangu lini akawa mshauri? mzaramo wake mdundiko tu(utani)
 
Back
Top Bottom