Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mimi hata sielewi chochoteNiko nyuma kama koti la babu yaani hata sijui ni nini kinaendelea hapa Naombeni ubuyu basi waungwana
umejuaje kama watasikiliza nyimbo zao tu kwani clouds wasanini wa nyimboWCB hata wa anzishe Redio na Tv yao haiwezi kupima uwezo wao.. utapimaje ubora wako kwa kisikiliza nyimbo zako mwenyewe....!
Tukimzungumzia RUGE kuwa anashusha soko la Muziki pia hawa Wcb nao ni jipu kwa soko la Muziki hawataki mtu au msanii mwingine afanye vizuri zaidi yao...na ndomana leo hii soko la muziki tanzania linaonekana nila watu wachache...
WCB wabaki kwenye misingi yao kama taasisi na media nazo zibaki kwenye misingi yao..kila media ina misingi iliyo jiwekea yenyewe
Kubali ukatae habari za kimbeya nyingi zinatoka WCB so msifikirie anguko la WCB kumbuka hata wao clouds watasheki.
Ngoja tuone mwisho wake.
Wabongo bana hahahahhaa mzaramo tangu lini akawa mshauri? mzaramo wake mdundiko tu(utani)Diamond afanye maamuzi ya busara kwa pale alipofika ni aibu yeye kuendelea kuongozwa na kina Tale na Fella.
Fella wanaume ilimshinda kwa unyonyaji wake....Yule Tale Tip Top kaitia motoni ili akajibanze kwa Dimond.
Yule Sallam kimbelembele na ujuaji wale ndio wanaharibu image ya Dimond kwa kujibizana kwenye mitandao....Ruge na Shigongo ndio waliomfikisha Dimond halipo hao wakina Fella wamedandia mafanikio tu