Kipindi cha Spoti Mikiki ni cha nani?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Wadau, mara nyingi ukikitazama kipindi hiki kupitia ITV huwa nakiona kiko bias kwa timu fulani.Ni muhimu kikaboreshwa kama si kukiondoa kabisa.
 
Kiko bias kwa timu gani?? By the way ni SPOTI KIZAAZAA na sio Mikikimikiki...
 
kilivyoanza walikiita 'hospitali ya michezo' lakini baada ya hapo wanaongelea soka tu na sio soka bali Simba na Yanga! Kibaya zaidi wahudhuriaji ni walewale ambao ukiangalia ndio wamesababisha matatizo mengi kwenye hizo timu, inasikitisha!
Mfano kuna jaama mmoja (mtu wa Simba - sijui anaitwa 'Ghadafi') anaongea kwa jazba kama ilivyo kwa 'washabiki' wa timu hizi ambao walitaka kumpiga coach wa Yanga.
Nashindwa kutabiri ni nani atakayetatua matatizo tuliyonayo!
Kiko bias kwa timu gani?? By the way ni SPOTI KIZAAZAA na sio Mikikimikiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…