kilivyoanza walikiita 'hospitali ya michezo' lakini baada ya hapo wanaongelea soka tu na sio soka bali Simba na Yanga! Kibaya zaidi wahudhuriaji ni walewale ambao ukiangalia ndio wamesababisha matatizo mengi kwenye hizo timu, inasikitisha!
Mfano kuna jaama mmoja (mtu wa Simba - sijui anaitwa 'Ghadafi') anaongea kwa jazba kama ilivyo kwa 'washabiki' wa timu hizi ambao walitaka kumpiga coach wa Yanga.
Nashindwa kutabiri ni nani atakayetatua matatizo tuliyonayo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.