Kipindi cha uteuzi wa Mgombea Urais, Wabunge na Madiwani kupitia CHADEMA kitagubikwa na hujuma sana endapo maridhiano yasipofanyika

kiongozi au mwanachama anaeheshimu na kuzingatia katiba ya chama,
bila kupotosha wanachama wake kupoteza uhuru na haki zao za kikatiba, kwa agenda za aina ya No reform, No elections anafaa kuaminiwa, kinyume na hapo nitapeli na kibaka wa kisiasa
CDM kwa kauli moja wameamua no reform no election kinyume na hapo nenda chama chengine.
 
CDM kwa kauli moja wameamua no reform no election kinyume na hapo nenda chama chengine.
sasa mbona anae ihubiri hiyo kauli ni mwenyekiti wa taifa pekeyake kama, kweli ni kauli ya pamoja na iliyoeleweka kwa viongozi wote?

na hujuma zinatoka wapi kwa mujibu wa katibu mkuu wa chadema taifa?
 
Hii slogan yako 'vibaka na matapeli wa kisiasa'iko sahihi sana nami nitakuwanaitumia.
be free gentleman,
kwasababu vibaka na matapeli wa kisiasa nchini,
hawaewezi kupotosha na kuwahadaa wananchi kwa agenda za hovyo kama ya no reform no elections, halafu waTanzania wazalendo tukaa kimya. Hiyo si sawa, haiwezekani kabisa
 
Chadema hawatoshiriki uchafuzi mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane

Usisahau hilo!
 
Chadema hawatoshiriki uchafuzi mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane

Usisahau hilo!
hakuna aya, nukta, au koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba nchi itabadilishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025.

uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki pila kujali kuzingatia makelele ya vibaka wa demokrasia nchini,
Na utafanyika kwa salama na amani kabisa πŸ’
 
Wengine wanamalizia kugegeda cha asubuhi wewe unawaza CHADEMA
 
 
Kwani hapo kwenu mnagubikwa na nini?Mnahabari mwenyekiti anataka kuwakimbia?
 
Kwani hapo kwenu mnagubikwa na nini?Mnahabari mwenyekiti anataka kuwakimbia?
gentleman,
huna haja kuja kupanic kwasabb ya ukweli huo,

ni muhimu sana kuzingatia hilo kwasabb Lazima litatokea kwasabb hakuna namna nyingine sasa. Kibaka na tapeli anaendelea kujichanganya kwa watoto wa mujini πŸ’
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…