Kipindi cha uteuzi wa Mgombea Urais, Wabunge na Madiwani kupitia CHADEMA kitagubikwa na hujuma sana endapo maridhiano yasipofanyika

kiongozi au mwanachama anaeheshimu na kuzingatia katiba ya chama,
bila kupotosha wanachama wake kupoteza uhuru na haki zao za kikatiba, kwa agenda za aina ya No reform, No elections anafaa kuaminiwa, kinyume na hapo nitapeli na kibaka wa kisiasa :NoGodNo:
CDM kwa kauli moja wameamua no reform no election kinyume na hapo nenda chama chengine.
 
sasa mbona anae ihubiri hiyo kauli ni mwenyekiti wa taifa pekeyake kama, kweli ni kauli ya pamoja na iliyoeleweka kwa viongozi wote?

na hujuma zinatoka wapi kwa mujibu wa katibu mkuu wa chadema taifa? :pedroP:
 
Hii slogan yako 'vibaka na matapeli wa kisiasa'iko sahihi sana nami nitakuwanaitumia.
be free gentleman,
kwasababu vibaka na matapeli wa kisiasa nchini,
hawaewezi kupotosha na kuwahadaa wananchi kwa agenda za hovyo kama ya no reform no elections, halafu waTanzania wazalendo tukaa kimya. Hiyo si sawa, haiwezekani kabisa :NoGodNo:
 
Chadema hawatoshiriki uchafuzi mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane

Usisahau hilo!
 
hakuna aya, nukta, au koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba nchi itabadilishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025.

uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki pila kujali kuzingatia makelele ya vibaka wa demokrasia nchini,
Na utafanyika kwa salama na amani kabisa 🐒
 
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.

Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.

Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.

Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.

Una maoni gani 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wengine wanamalizia kugegeda cha asubuhi wewe unawaza CHADEMA
 
hakuna aya, nukta, au koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba nchi itabadilishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025.

uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki pila kujali kuzingatia makelele ya vibaka wa demokrasia nchini,
Na utafanyika kwa salama na amani kabisa
 
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.

Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na kukomoana hawatapata kuungwa mkono tena kwa makusudi tu kama muendelezo wa kuhujumiana, kutwezana utu, kukomoana na migawanyiko iliyokuwepo wakati wa uchaguzi wa ndani.

Vilio vya hujuma, usaliti na kukomoana kwa makusudi havitakoma ndani ya chadema mpaka maridhiano ya kweli yatakapofanyika, hata hivyo itachukua muda mrefu sana kuponya majeraha ya tuhuma za kizushi miongni mwao, na kutwezana utu binafsi na familia zao wakati ule wa kampeni za uchaguzi wao wa ndani.

Vikao vya kusimamishwa na kuenguana uanachama havitaisha, nadhani hiyo ni agenda mojawapo muhimu sana ya kiongozi mpya wa Chadema.

Una maoni gani 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani hapo kwenu mnagubikwa na nini?Mnahabari mwenyekiti anataka kuwakimbia?
 
gentleman,
huna haja kuja kupanic kwasabb ya ukweli huo,

ni muhimu sana kuzingatia hilo kwasabb Lazima litatokea kwasabb hakuna namna nyingine sasa. Kibaka na tapeli anaendelea kujichanganya kwa watoto wa mujini 🐒
 
ni utapeli kuomba kuchagiwa pesa za matumizi mwaka jana,
na tena na mwaka huu kwa mtindo ule ule anaomba kuchangiwa pocket money kwa mgongo wa chama na huku akiwa hana mpango mkakati kabisa wa kujitegemea kiuchumi, huyo sio kibaka wa kisiasa kweli gentleman? :NoGodNo:
Ok
 
Back
Top Bottom