Kipindi Cha "Wana wa town" kinaleta ujumbe gani kwenye jamii?

Mambo mengine mbaki nayo hukohuko tu...
Wala hiyo channel mi siijui..
 
Ye atabadirisha ,watt je?
Akiwa hayupo watabadirisha?

Mkuu Kuna watt wanakua Bado

Kama unasubiri wakina Country Weezy wawafundishe maadili watoto wenu pole sana.
Acheni kuwapa majukumu ya kulea watoto wenu watu wengine. Mimi binti yangu wa miaka 10 ana access ya TV all the time, lakini ukimuuliza Nicky Minaj ni nani, bado hamfahamu mpaka leo. Kila kitu kina limit wajameni
 
Hao watoto gani hadi saa nne usiku wana angalia TV? Hivi wewe kweli mzima? Unawalea watoto namna hiyo? Wewe hao watoto una waharibu kabisa hiyo ni mida ya wakubwa ndio maana kikawekwa muda huo!
 
[emoji23][emoji23]huo ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…