Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
Umeambiwa EATV hayo ya Clouds siyatambui!
na mimi sitambui EATV:yell:
wewe nani mbaka uitambue?!
we nani mpaka uulize mimi ni nani?:yell:na wao ni nani mpaka mimi niwatambue?
malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara
Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee..
Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi hicho kitajulikana kama "In My Shoes".
View attachment 112753
katika ukurasa wa EATV wameandika hivi"
Hii lazima ieleweke hata iweje! Baada ya bandika bandua za kutosha, sasa tunakubandikia hii nyingine! Kutana na malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara, Wema Abraham Sepetu kwenye reality show yake inayoitwa "In my Shoes" itakayoanza kudondoka hapa kwenye ting'a kali namba moko kwa vijana kuanzia mwezi ujao! Unasemaje?
Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?
https://www.facebook.com/eatv.tv
Nani hao?
Wabongo kwa kuhoji.........Ok..ngoja niwape hints kidogo.
.....hiki kipindi ni kwa wale wote wanaovutiwa au kutamani kuwa kama bi mdada (Wema).....tunaposema REALITY tunamaanisha REALITY....tangu alivyoukwaa umiss TZ....alivyo/anavyohudhuria vituo vya polisi na mahakamani.......alivyotandika jiwe kioo cha gari la marehemu Kanumba......Anavyoishi na wafanyakazi wake wa nyumbani (promo tulishawawekea hapa jukwaani siku za nyuma)....mtawaona kina Diamond, Jumbe, mheshimiwa mbunge na wengine wengi wanavyopishana.....na mengine mengi....
Ila bado sijajua watai rate PG ,18 ama.........
Kiufupi ni kama BIG BROTHER ya bongo.....kwa maelezo hayo machache ahsanteni kwa kunisikiliza.....
si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?
si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
Kumetokea kutoelewana kati ya Wema Sepetu na Clouds TV, mara baada ya kukubali kurushwa kwa kipindi cha Irene Uwoya kwenye Clouds TV cha kujengea watu nyumba.
Kwa kipindi kirefu Wema Sepetu haelewani na Irene Uwoya na kufanya asusie kurusha kipindi chake Clouds TV, akikataa ushindani naye hasa kwa kuwa yeye ndiye aliyepeleka wazo la kipindi cha maisha halisi.
Baada ya EATV kusikia juu ya kutokea kutoelewana katika Wema Sepetu na Clouds TV, wakamdaka Wema fasta na kuingia naye makubaliano ya kurusha kipindi hicho.
Na kwa kuwa Wema anatengeneza mwenyewe kipindi chake ikawa rahisi kukihamisha.