Wabongo kwa kuhoji.........Ok..ngoja niwape hints kidogo.
.....hiki kipindi ni kwa wale wote wanaovutiwa au kutamani kuwa kama bi mdada (Wema).....tunaposema REALITY tunamaanisha REALITY....tangu alivyoukwaa umiss TZ....alivyo/anavyohudhuria vituo vya polisi na mahakamani.......alivyotandika jiwe kioo cha gari la marehemu Kanumba......Anavyoishi na wafanyakazi wake wa nyumbani (promo tulishawawekea hapa jukwaani siku za nyuma)....mtawaona kina Diamond, Jumbe, mheshimiwa mbunge na wengine wengi wanavyopishana.....na mengine mengi....
Ila bado sijajua watai rate PG ,18 ama.........
Kiufupi ni kama BIG BROTHER ya bongo.....kwa maelezo hayo machache ahsanteni kwa kunisikiliza.....