Kipindi cha Zamaradi Wasafi TV nimewahi kukiona Clouds Tv

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Saleikhum waungwana..

Nimeamua kuitikia wito wa Wasafi tv ifikapo sa moja unusu niwe runingani kucheki kipindi chao kipya walichozindua jana "Nyumba ya Imani".

Dooh naangalia hapa nakuta ni kipindi kile kile ambacho Zamaradi na Sheikh Kipozeo walikuwa wana Kihost Clouds Tv..

Kama mnakumbuka Zamaradi alifungiwa kipindi cha Take One baada ya kumuhoji shoga [HASHTAG]#Kaoge[/HASHTAG] akaanzisha kipindi kuhusu dini huku Kipozeo akitoa dua.

Hapa kisheria ikoje hii maana naona kama content yote kaichukua kutoa Clouds!?
 
Weka kwanza hati ya haki miliki ya hicho kipindi kumilikiwa na Cloudstv ndipo swali lako litakuwa na mantiki, iwapo haitakuwepo basi haki ya kumiliki hiyo idea ya kipindi ni ya Zamaradi ambaye sasa yuko Wasafi tv
 
Ndio.maana nimeuliza ili nipate kueleweshwa....
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k
ha haha hahaaa
 
Je kipindi cha Wema Sepitu saa ngapi?
 
Alikuwa anakitangaza tu, nilimsikia akihojiwa na Dissim online kuwa ni kipindi alichokiandaa tayari ameandika script mwenyewe na ashashoot tayari hajaamua kituo cha kuoneshea. Naona atakuwa ameamua akiweke wasafitv kutokana na yaliyotokea clouds media
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k

ITV walikuwa na taarifa ya habari hata kabla baba wa TBC yaani TVT hajaletwa duniani achilia mbali TBC mwenyewe mkuu huwatendei haki ITV.
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k
tehteeehhh.....swali zuri
 
Ruge atanyuti maana,
Maana Zamaradi ni Ex-Girlfriend wake
 
Kuchamba kwingi hutoka na mavi. Sasa ulichofanya nini.
Neno kuonesha linatokana na neno ona, na neno kuonyesha linatokana na neno onya. Sijui hapo naona umechemka kijana. Usipende kuchamba chamba sana.
Kuonyesha maana yake nini Mkuu..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…