Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Saleikhum waungwana..
Nimeamua kuitikia wito wa Wasafi tv ifikapo sa moja unusu niwe runingani kucheki kipindi chao kipya walichozindua jana "Nyumba ya Imani".
Dooh naangalia hapa nakuta ni kipindi kile kile ambacho Zamaradi na Sheikh Kipozeo walikuwa wana Kihost Clouds Tv..
Kama mnakumbuka Zamaradi alifungiwa kipindi cha Take One baada ya kumuhoji shoga [HASHTAG]#Kaoge[/HASHTAG] akaanzisha kipindi kuhusu dini huku Kipozeo akitoa dua.
Hapa kisheria ikoje hii maana naona kama content yote kaichukua kutoa Clouds!?