Kipindi cha Zamaradi Wasafi TV nimewahi kukiona Clouds Tv

mara nyingi ukiwa unafanya kazi katika taasisi.ubunifu wowote utaofanya ni maali ya hiyo taasisi unless umeingia nao mkataba maalum bila hivyo unawez kufunguliwa mashtaka.. lakini Zamaradi anaweza hamisha hiko kipindi sababu mmiliki wa WASAFI TV ni yule yule mmiliki wa Clouds...Kusaga. Bila hivyo angekuwa keshafunguliwa mashtaaka
Kama alianzisha yeye akiwa clouds na ameamua kuhama na idea yake kuna tatizo gani?
 
Kusaga ana miliki wasafi? Are you BRELA au ndio wale da Mange Kasema. Mbona Kuna vipindi vingi vinafanana maudhui na wamiliki tofauti. Kusaga amiliki Wasafi media wakati nyimbo za WASAFI hazipigwi we unajua kwa nn sallam anatumia neno "tumekataa kuwa kaa".Alafu kuanzisha radio sio ishu Abdalah majura ana radio yake, sasa Diamond anayepiga 100m per show atazidiwa na huyo aliyekuwa mtangazaji wa radio One.
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k
Point of correction itv walikuwa wa kwanza kabla ya tvt
 
Kuwa na chombo cha habari ni ishu boss. ..lesEni haupewi mpaka account isome billioni kadhaaa...hats frequency anayotumia diamond ya redio ni ya leseni ya kusaga na kusaga hajatangaza kama kauza sasa wewe tumia akili ya kuzaliwa . Hehe hee hii ndo bongo
 
Kawadanganye wenzio wasiojua maswala ya TCRA na unaonekana hujui chochote kuhusiana na maswala haya Broadcasting. Sallam kazindua Dizzim radio morogoro ina maana na yy billionaire.Kwanza unaijua vizuri history ya CMG ilivyoanzishwa kwa kuunga unga na kama condition ingekuwa hiyo leo hii kusingekuwa na Clouds Fm . alafu kama hiyo ndio conditions Diamond kashafaulu, single moja ya merry me imegonga kopi 180000 ndani ya miezi kumi tu, YouTube total views per year 50+m, bado show balozi mbona bilioni hela ndogo we mtu magari yake mawili 350+m. Kawadanganye wenzio wasiosoma mimi maswala haya ya Telcom hunidanganyi.Hizo sheria zipo kama ukitaka kuanzisha bank, kwa sababu ukifilisika lazima wateja wapewe hela yao, sasa radio ikifilisika Kuna mteja gani ana account kwenye radio. ACHA UONGO.
 
Polepole basi mkuu dah mbona humpi mwenzio ata nafasi ya kumeza mate
 
Kipindi kiko poa sana Leo nimeangalia..sheikh anatoa elimu bora kabisa..
 
boss me niko kwa industry ndo mana najua hayo heheheheeheh salaam nae redio ni ya mosha...hehe hi ndo bongo unaowadhani wana hela wakija kwetu wanatukopa wenye hela hawana kelele boss..redio lazma uwe na Billioni wauiloze waliofungua na diamond hana. ..aliitwa tra kulipia kodi Billioni zake Alilia mpaka kamasi kuleta bank statement hata billioni hana watu wakabaki kucheka
 
Wewe sio kwa sababu unadaiwa na TRA, ukubali kiboya hata huyo bakharesa mwenyewe akimbiawa na TRA ela anayodaiwa na yy ana watu wake wa Taxation, wanakokotoa baadaye wanaofanya comparison, kulalamika sio kwamba mtu huna hela bali lazima wewe ujilizishe,ukienda kichwa kichwa TRA watakupiga kila siku. Alafu mbona hamueleweki huyo Mosha frequency aliyouziwa na TCRA nae kawauzia classic fm. Sasa ndio nakuuliza unajua kwa nini Mosha amewauzia frequency classic fm?.
 
Hakuna shida kama kipindi kimetambulishwa kwa jina lingine hata kama wahusika wa kipindi ni walewale, mbaya ni kuhama na jina la kipindi na kwenda nalo kwenye kituo kingine...hii iliwahi kuwatokea Original comedy walipohama ITV na kuanza kazi na TBC (uliibuka mgogoro kwa kuwa walitaka kurusha show kwa jina lile walilokuwa wanatumia na ITV na mwisho wa siku wakabadili n kujitambulisha kama Original Comedy
 
Mfano mzuri sana huu.
 
ha ha ha..mkishamaliza kupeana za uso kwa kusahihishana hizo sarufi na virai na vishazi mrudi kwenye mada
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k
nje y box!!
 
Weka kwanza hati ya haki miliki ya hicho kipindi kumilikiwa na Cloudstv ndipo swali lako litakuwa na mantiki, iwapo haitakuwepo basi haki ya kumiliki hiyo idea ya kipindi ni ya Zamaradi ambaye sasa yuko Wasafi tv
Pia aweke na hati miliki ya kipindi cha taarifa ya habari
 
Hapo mwisho umecheka kipashkuna kinoma noma.....
 

Mosha hajawahi kuwa na frequency Dar es salaam morogoro bosiii...Mosha aliomba frequncy akatupiwa Morogoro. Classic FM wanatumia Frequncy Dar ambayo ilikuwa ya BBC Swahili cheki rekodi zako ni mimi Selwa mtoto wa towni
 
Mosha hajawahi kuwa na frequency Dar es salaam morogoro bosiii...Mosha aliomba frequncy akatupiwa Morogoro. Classic FM wanatumia Frequncy Dar ambayo ilikuwa ya BBC Swahili cheki rekodi zako ni mimi Selwa mtoto wa towni
Tatizo wewe ndugu yangu kwanza hupendi kusoma,nimeingia TCRA sijaona hiyo sheria ya mtu uwe na bilion moja ili ufungue radio, na radio fee yake ni $20,000(per 5yrs).Pili kwenye telcom kuna kitu kinaitwa frequency reuse kwa hiyo frequency hazijaisha zipo ni wewe na mpunga wako ,kwa maelezo zaid soma hapa ili uelewe uache uzushi,kama msomaji


Kwa ushaidi linki hii yapo ingia TCRA ujilizishe.License Categories:Soma mwenyewe ili ukawasimulie wenzako,ukibisha na hapa tena naomba usintag manake utakuwa unabishana na wenye mamlaka upande wa mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…