Kipindi cha Zamaradi Wasafi TV nimewahi kukiona Clouds Tv

Shida mnajifanya wajuaji mnoooo. Nenda kaapply leseni utaombwa bank statement ndo utajua. We Nenda tu mawasialiano jifanye unaomba procedure. .shwaaaaaaain
 
Shida mnajifanya wajuaji mnoooo. Nenda kaapply leseni utaombwa bank statement ndo utajua. We Nenda tu mawasialiano jifanye unaomba procedure. .shwaaaaaaain
Fuata procedures zilizowekwa hamna janja janja, sasa hapa ukibisha unabishana na TCRA,ila kama umeamua kuendelea kuamini hizo story za kwenye vijiwe vya kahawa endelea kukaa na ujinga wako.
 
Fuata procedures zilizowekwa hamna janja janja, sasa hapa ukibisha unabishana na TCRA,ila kama umeamua kuendelea kuamini hizo story za kwenye vijiwe vya kahawa endelea kukaa na ujinga wako.
Bro hata benki unaambiwa pRocedure za kukopa kuanzia online ila ukifika unaulizwa collateral..refereees wawili na credit score yako inachekiwa ila hawaandiki online...kama ni raisi fungua na wewe bro. ..nenda mawasilliano. ..mbona sio MbaLi. ..utaaambiwa tu... hawawezi kukuacha ufungue redio kama hauna hela za kutosha za uendeshaji ambayo kwa redio inafika B moja...ndicho watachokuambia...ukiwa Chini ya hiyo unapewa leseni ya community redio ambayo haiwezi kufanya biashara...hiyo ndo inahitaji use na mill 300. Ingekuwa kufungua redio ni 20 000Usd mkuu kila mtu si angekua nayo hehe hehe heh we nenda mawasiliano Acha ubishi
 
Mimi nishamaliza, we jifanye kichwa ngumu, hao ndio wamepewa mamlaka na dhamana ya mawasialiano. Alafu unachanganya sheria za kufungua bank na kufungua radio, bank inabidi uwe na dhamana BOT, sababu ukifilisika wateja inabidi walipwe, sasa radio hiyo dhamana unamlipa nani na ndio maana kama ukishindwa kulipa fee, frequency yao wanaichukia na ndio maana frequency ile una kodishwa na hamna mtu anayemilikishwa frequency(frequency ni mali ya TCRA na ukishindwa kulipa fee na kuendesha radio, wenyewe TCRA wanachukua frequency yao wanampa mwengine) , rudi kasome Kuna pdf nyingi tu, hizo sheria zako mm sijaziona TCRA.
 
Dizzim TV na dizzim radio ni leseni ya David Mosha ,alifungua Africa Swahili radio na TV ,zimemshinda ndio kampa salam ,hata wasafi TV na radio ni lesen za MTU....ni hayo tu
 
Mosha hajawahi kuwa na frequency Dar es salaam morogoro bosiii...Mosha aliomba frequncy akatupiwa Morogoro. Classic FM wanatumia Frequncy Dar ambayo ilikuwa ya BBC Swahili cheki rekodi zako ni mimi Selwa mtoto wa towni
Radio morogoro jengo LA NSSF
Tv pale sinza mori kwenye apartment zake
 
Mbona taalifa ya habari walianza kuonesha TBC zamani kama TVT lakini sasa hivi kila TV wanaonesha taarifa ya habari? ?

Je TBC wawashtaki tv nyingine kwa kuwaiga tarifa ya habari??

Au vipindi kama top 10 n.k
Au ITV wamshitaki Sam Mahela kwa kuendelea na style yake ya ku dag anaporipot taarifa hata baada ya kuhamia TBC.
 
Au ITV wamshitaki Sam Mahela kwa kuendelea na style yake ya ku dag anaporipot taarifa hata baada ya kuhamia TBC.
TBC nao wamekuwa mafundi wa kunyakua watangazaji kutoka ITV hahahaaa
 
Eatv sio ITV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dizzim TV na dizzim radio ni leseni ya David Mosha ,alifungua Africa Swahili radio na TV ,zimemshinda ndio kampa salam ,hata wasafi TV na radio ni lesen za MTU....ni hayo tu
waambie mkuuu.tukisema sisi tunaonekana tuna kimbelembele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…