Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 583
- 590
Tatizo wewe ndugu yangu kwanza hupendi kusoma,nimeingia TCRA sijaona hiyo sheria ya mtu uwe na bilion moja ili ufungue radio, na radio fee yake ni $20,000(per 5yrs).Pili kwenye telcom kuna kitu kinaitwa frequency reuse kwa hiyo frequency hazijaisha zipo ni wewe na mpunga wako ,kwa maelezo zaid soma hapa ili uelewe uache uzushi,kama msomaji
View attachment 785206 View attachment 785206
View attachment 785203
Kwa ushaidi linki hii yapo ingia TCRA ujilizishe.License Categories:Soma mwenyewe ili ukawasimulie wenzako,ukibisha na hapa tena naomba usintag manake utakuwa unabishana na wenye mamlaka upande wa mawasiliano.
Shida mnajifanya wajuaji mnoooo. Nenda kaapply leseni utaombwa bank statement ndo utajua. We Nenda tu mawasialiano jifanye unaomba procedure. .shwaaaaaaain