Kikidhaminiwa na CHIBUKU! Ilikuwa ni zaidi TIVII.Kipindi cha mzee jangala.
Habari wana jf
Miaka inaenda na siku zinazidi kusogea.miaka io kabla redio azijawa nyingi redio tanzania ilikua ndo ilikuwa imepamba moto . je nikipindi gani kilichokuvutia wakati uo ambacho hukupenda kukosa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa nilikuwa najaribu kulikumbuka hili jina nikashindwa nikawa nakumba huu msemo "maneno hayo".