ven1965
Member
- May 11, 2018
- 74
- 143
Habari wana JF
Miaka inaenda na siku zinazidi kusogea. Miaka hiyo kabla redio hazijawa nyingi redio Tanzania ilikuwa ndo imepamba moto.
Je, ni kipindi gani kilichokuvutia wakati huo ambacho hukupenda kukosa kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app