Radio One na yenyewe ni RADIO TANZANIA?Redio one miaka ya 2000 kipindi cha reggae time kila jmosi saa 12 jioni kuna mtangazi flani alikuwa anajita ras jina limenitoka! yule mtangazaji alikuwa anajua sana sijui siku hizi yupo wapi.
Hapa mkuu nimeongeza nyama kidogo
Ilikuwa na visa vya kusikitisha sana...[emoji26][emoji26] na mtangazaji alikuwa anajua kusoma zile msg kwa sauti ya uzuni balaaSitasahau Bonge la kipindi way Back
Ni wakati wa pwagu na pwaguzi....
Kama unazungumzia kipindi cha UGUA POLE, rtd, kilikuwa ni saa tatu asubuhi hadi saa nne siku ya j,2.Kile kipindi cha salamu kwa wagonjwa ilikua ni baada ya habari ya saa kumi alasiri.