CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
hope ujumbe utafikia. . . karibu tena!
Asante Ndg Mtangazaji.
ntarudi charm niwekee folen
Bishanga hebu njoo huku u unadaiwa upesi!
ntarudi charm niwekee folen
karibu sana,pia unaweza kuendelea kuwatafuta ndugu wengine!
Mwingine ninayemtafuta ni Erickb52 na Young_Master,
walitumwa na Babu Asprin waje kunikagua badala yake,kama wananisikia
nawaambia hv,njooni tu mnikague msiniogope me binadamu mwenzenu na nimeshabook Hotel tayari kwa Ukaguzi.
Ujumbe:
Ukitaka kula sharti nawe uliwe
Wimbo:
Kwetu Pazuri-Ambsdr Grp
Acha uoga wewe,
come to me haraka.
haya mamyto natala huko kwako ila mie ntalal chini wewe utalala kitandani.