Nimethibitisha kuwa kwa mwanadamu sky is the limit, ukiweka nia akili, uthubutu mia ya mia na kuamua kutoka moyoni bila kuwaza watu watanionaje.
Nilifanya kitu ambacho kilikuwa juu ya uwezo wangu kwa maana ya siku za nyuma nilikuwa naona siwezi kufanya hivyo hadi nipitie kwenye hatua 1, 2, 3. Ila nilikamilisha hilo jambo bila kupitia hatua zote hizo.