Kipindi hiki cha lockdown umejifunza nini?

Kipindi hiki cha lockdown umejifunza nini?

Jades jargon

Member
Joined
May 29, 2020
Posts
21
Reaction score
41
Dah hamuwezi amini katika kipindi hiki cha kukaa ndani numejifikiria nanimegundua kwamba p,q,d,b, zote ni herufi moja sema matumizi na mikao ndo inafanya zionekane tofauti. Tupia fikra zako tuedelee ku share ideas mbali mbali
 
Nimegundua kuwa katika watoto watatu wa kakayangu mmoja kapigwa.sio mtoto wake wa kuzaa.mke alichepuka.
 
Nimethibitisha kuwa kwa mwanadamu sky is the limit, ukiweka nia akili, uthubutu mia ya mia na kuamua kutoka moyoni bila kuwaza watu watanionaje.

Nilifanya kitu ambacho kilikuwa juu ya uwezo wangu kwa maana ya siku za nyuma nilikuwa naona siwezi kufanya hivyo hadi nipitie kwenye hatua 1, 2, 3. Ila nilikamilisha hilo jambo bila kupitia hatua zote hizo.
 
Back
Top Bottom