Umekaa mbele ya Daladala Aina ya EICHER Tena umewahi siti unajiona mjanja kupiga picha za maghorofa zisizokuhusu.
Leteni maisha halisi na sisi tukianza kuleta picha za maghorofa si utakimbia.
Tanzania nzima Hakuna mtaa mzuri Kama Dar Silcon Valley ( Sijui hata Kama unaufahamu).. ila sikutaka kuleta Mambo ya majengo ambayo hayatuhusu katika maisha yetu mimi na wewe.
Ngoja Sasa nikuwekee picha halafu ulinganishe na hayo magofu uliyopost hapa kutoka temeke.
Kumbuka hizi picha ni za mtaa mmoja wa Dar Silcon Valley wilaya ya kinondoni. Hata huelewi lolote zwazwa wewe.
Sasa nakuomba acha kuleta picha za majengo hapa. Tujikite kwenye mada.
View attachment 1625011View attachment 1625012View attachment 1625013View attachment 1625014