Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Brother usitumie nguvu nyingi sana..
Dar nzima kimifumo na kimiundombinu ni mbovu na wala haijafikia hata nusu ya viwango vya world class cities na hapa siongelei "Mega cities" maana hata ukiirudisha kwa Tz bado ni mama wa slums majiji yote..

By the way Karibu TEMEKE kwa Hustlers, Mbagala kwa THE REALEST, Huku huwezi kula wala kulala pazuri kwa

1. kushinda gym au kujisoftisha, kutinda nyusi, kujifanya bongo flava au bongo movie artist or whatever unachofikiria kukwepa KAZI

2. kuwa mdananda ama CHAWA, utachokwa tu

3.kujisifia umeenda majuu au born town unaejua viwanja vyote au watu maarufu wote mjini wakati hizo connections hazijakusaidia kitu zaidi ya kula starehe bila kumiliki hata kiwanja. UTADHARAULIKA

Bottom line, DAR is almost a total slum city
 
Hiyo hali ipo jiji lote nenda Tegeta asubuhi, Segerea, Kimara,. Hivyo nenda jioni. Pia nakukumbusha huko Mbagala siku hizi hawatumii DCM waliacha miaka Kama 6 ilihopita
 
Tafadhali sana somalia hakuna chemba zinazotema ovyo kama huko kwenu.
 
Wilaya ambayo huwezi ukaona mafuriko ni Temeke pekee kwa Dar. Temeke ina ardhi ambayo si asili ya chem chem kwahiyo mvua ikinyesha maji yanakauka haraka
 
Wilaya ambayo huwezi ukaona mafuriko ni Temeke pekee kwa Dar. Temeke ina ardhi ambayo si asili ya chem chem kwahiyo mvua ikinyesha maji yanakauka haraka
Hivi hapa ni mbagala?. Nyambafu. Karibu Tegeta bus terminal uone kuhara nje nje
 
Watu WA Dar wakija mikoani wanavyojimwambafy wakija mikoani.nilivyoenda Dar nikajionea
mwenyewe.yaani maeneo Mengine hata Mimi siwezi kuishi hata bure mfano vingunguti. Yaani kuna maeneo ni mibovu kuliko mikoani. Sema kuna maeneo ni mazuri sana.alafu watu WA dar ni wachafu wanaachia maji taka kwenye mazingira.
 
Mimi mchepuko akiniambia anakaa
1 Mbagala
2 Tandika
3 Buza
4 Kiwalani
5 Gongo la Mboto
6 Kitunda
7 Vingunguti naachana nae
Mtu chips yai hao wanawake watakufedhehesha stamina yao kali labda ule viagra.
Hawa Aga khan wanamuhudumia nani hapo Yombo buza mpaka wamechukua ghorofa kubwa hivyo. Haaaaaaaa .
 
Hivi ushawahi sikia kuna MTU kutoka wilaya ya Temeke kafa kwa mafuriko???...Ni wilaya gani zinazoongoza kwa nyumba zao kujaa maji hapo DSM?? Pale Jangwani ni Tmk? Vp pale Posta mpya ni Tmk pale? Ile mito mikubwa inayosomba sana watu hapo DSM ipo wilaya gan?
MTOA POST UMEKURUPUKA!!
 

Yaelekea Mkurugenzi ni fake, DC ni fake, vinginevyo iwe walichagua Opposition na mkubwa akaminya maendeleo
 
Hapa dar wilaya nzuri na tamu ni kigamboni. kwanza huingii hiyo wilya bila ya kulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…