GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,332
- 4,315
Kipindi hiki cha "NO REFORM,NO ELECTION" ndiyo kipindi sahihi ambacho Makonda angepaswa kuwa mwenezi wa chama.
Kwani yale mambo aliyokuwa anayafanya Makonda kama Mwenezi wa chama kipindi kile angeyafanya sasa hivi yangesaidia sana kufubaza mkakati wa "NO REFORM,NO ELECTION".
Kuwafanya wananchi kuwa bize na bahasha zao mkononi za migogoro ya ardhi,migogoro ya mirathi,migogori na TRA,migogoro ya ndoa,migogoro ya utapeli na migogoro ya unyanyasaji wa kijinsia iliyoshindikana mahakamani na kumsubiri mwenezi Makonda aje atatue matatizo haya ingesaidia sana kufubaza kama sio kuzima kabisa hoja ya "NO REFORM,NO ELECTION"
Kwa sababu wananchi wangekuwa na imani mwenezi akifika tu matatizo yao yote yangeisha kama walivyokuwa wanaamini kipindi kile kijana alivyokuwa mwenezi kwamba alikuwa na uwezo wa kutatua matatizo yao yote.
Watanzania bwana!
Ukiongezea na yale mambo ya kuwasema sema viongozi jukwaani ndiyo kabisa wananchi angewamaliza kabisa na wangekuwa bize sana na Makonda kama alivyokuwa kipindi kile.
Sasa hesabu hazipo hivyo kabisa.
Sasa hivi yupo Makalla ambaye wananchi hawapo bize kabisa na bahasha zao mkononi za "baba nisaidiye mwanangu kabakwa." "Baba nisaidiye nimenyang'ang'wa shamba langu." "Baba nisaidie nyumba yangu imevunjwa." "Baba nisaidie mimi ni yatima tumezurumiwa nyumba." Hivyo wananchi wamekuwa free kusikiliza mambo ya "NO REFORM,NO ELECTION"
Daaah! Ndiyo hivyo tena ngoja tuone hiyo "NO REFORM,NO ELECTION" itapoenda kufia au itakavyokuwa.