Mkuu Kamanga.
Hilo unalolizungumza ni kweli on one perspective ya biashara ya 'hand to mouth' ambazo sisi waTZ wengi tunafanya, i mean small scale biz or local biz.
Ishu nyingine, inachangiwa vile vile na uwezo wa kipesa wa waTZ wengi kuwa mdogo, kwa hiyo hata uwezo wao wa kuweka akiba ni mdogo. Kwa hiyo ukifika muda wa kupeleka watoto shule au kulipa kodi ya nyumba, hali inakuwa tete, na mambo mengi yanasimama.
Lkn kwa wafanyabiashara wanao-deal na international biz, wao hawaathiliki kabisa na haya mambo yetu ya kiswahili.