kipindi kigumu kibiashara

kipindi kigumu kibiashara

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
hodi jamvini
Wanajamvi mimi nina kitu kinanitatiza,kuna kitu huwa nasikia kuwa kuna miezi fulani hasa ya mwanzo wa mwaka biashara aina mbalimbali mfano maduka huwa ngumu kwa upande wa mauzo,kuna ukweli katika hili,na kama ni hivyo,mwezi wa tano umekaaje kibiashara?
 
Mkuu Kamanga.
Hilo unalolizungumza ni kweli on one perspective ya biashara ya 'hand to mouth' ambazo sisi waTZ wengi tunafanya, i mean small scale biz or local biz.
Ishu nyingine, inachangiwa vile vile na uwezo wa kipesa wa waTZ wengi kuwa mdogo, kwa hiyo hata uwezo wao wa kuweka akiba ni mdogo. Kwa hiyo ukifika muda wa kupeleka watoto shule au kulipa kodi ya nyumba, hali inakuwa tete, na mambo mengi yanasimama.
Lkn kwa wafanyabiashara wanao-deal na international biz, wao hawaathiliki kabisa na haya mambo yetu ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom