Kipindi maalum cha maendeleo ya ujenzi wa reli nchini

Kipindi maalum cha maendeleo ya ujenzi wa reli nchini

hamna mnacho weza muna mipango miiingi ya abunuasi ! leteni mil 50 kila kijiji ndipo tuongee mengine
 
Hongera sana Mh.Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli,chapa kazi baba vijana tunakukubali sana.Pia kaka Gerson P.Msigwa na team yako yote ya Directorate for Presidential Communications HONGERENI SANA KWA KAZI NZURI ya kuuhabarisha umma juu ya maendeleo ya ujenzi wa SGR.Mungu ibariki afrika, Mungu ibariki Tanzania.Mwenye macho haambiwi tazama!
 
Ndo kwanza km 30 na? au nimemsikia vibaya bob[emoji32][emoji32][emoji32]
 

Tanzania would be the best na itapokea tuzo nyingi sana za sustainable development transport na kenya haitakaa kuja kupata credits ya SGR yao because ni environmental enemy kwani wanatumia Diesel ambayo inatoa greenhouse gases na kusababisha global warming na ozone layer depletion therefore SGR ya kenya ina meet the needs of present generation but it compromises the needs of the future generation which is unacceptable as far as sustainable development goals are concerned....Tanzania would be a face of Africa(mark my words)
 
Sisi ni Bashite lakini wewe ni mywa viroba. Utasubiri ili tukwame mpaka utazeeka.
Tunajua mmeshaanza kukwama sasa mnatembeza bakuli mnaombaomba.. na badooo mtazunguka sana siku hazigandi..
Kibubu kimeshavunjwa hamna kitu..
Oooo tunajenga reli kwa pesa tuliyokusanya...
Ikowapi.. mbona mnatembeza bakuli[emoji83]
Mwafwaaaa[emoji196] [emoji90] [emoji90]
 
Tunajua mmeshaanza kukwama sasa mnatembeza bakuli mnaombaomba.. na badooo mtazunguka sana siku hazigandi..
Kibubu kimeshavunjwa hamna kitu..
Oooo tunajenga reli kwa pesa tuliyokusanya...
Ikowapi.. mbona mnatembeza bakuli[emoji83]
Mwafwaaaa[emoji196] [emoji90] [emoji90]
Povu hilo
 
Ninauhakika hilo ni povu. Labda umelewa viroba vikiisha utajiona vizuri.
Dozi hiyo inakutosha leo usije ukaji[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji85] [emoji196]
...mbafffff sana
 
Habari mbaya kwa chadomo hii, hutawaona hapa kwa aibu!!!.
 
Back
Top Bottom