Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Angalia pekee yako maana tuna mambo mengi ya kufanya kujitafutia ridhiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vichekesho vitupuhiyo ndo reli mnatapatapa kila kitu mmeshindwa
zito aliwaambia mapato yameshuka mnapika data, mkabisha sasa mnatembeza bakuli hata kwa wale mliowahi kuwatukana. SGR imebumaHii ndiyo tunaita hapa kazi tu
mmmmmhhhhhhhhh . . . .hamna mnacho weza muna mipango miiingi ya abunuasi ! leteni mil 50 kila kijiji ndipo tuongee mengine
sawa ila hautakamilika leo maana hatuna fedha kamili za kutekeleza mradi wote kwa wakati mmojaVyovyote iwavyo nimefurahi. Nitakua natoka Dar kwa Makonda mpaka nyumbani Ujiji Kigoma kwa siku moja. Naanzaje kupinga mradi kama huu jamani kama sio ujinga