hiyo ndo reli mnatapatapa kila kitu mmeshindwa
Pambana na hali yako kijana. Unaona wenzako wanaajiriwa. Vijana wa miaka 22 wanafanya kazi wewe upo kwenye mitandao unapiga porojo. Maisha ni kupambana siyo kupiga domo.hamna mnacho weza muna mipango miiingi ya abunuasi ! leteni mil 50 kila kijiji ndipo tuongee mengine
Kwani wewe hapa unapiga nini kama sio zaidi ya porojo..Pambana na hali yako kijana. Unaona wenzako wanaajiriwa. Vijana wa miaka 22 wanafanya kazi wewe upo kwenye mitandao unapiga porojo. Maisha ni kupambana siyo kupiga domo.
EehPambana na hali yako kijana. Unaona wenzako wanaajiriwa. Vijana wa miaka 22 wanafanya kazi wewe upo kwenye mitandao unapiga porojo. Maisha ni kupambana siyo kupiga domo.
Tanzania would be the best na itapokea tuzo nyingi sana za sustainable development transport na kenya haitakaa kuja kupata credits ya SGR yao because ni environmental enemy kwani wanatumia Diesel ambayo inatoa greenhouse gases na kusababisha global warming na ozone layer depletion therefore SGR ya kenya ina meet the needs of present generation but it compromises the needs of the future generation which is unacceptable as far as sustainable development goals are concerned....Tanzania would be a face of Africa(mark my words)
Ndo kwanza km 30 na? au nimemsikia vibaya bob[emoji32][emoji32][emoji32]
Bikira ukimfatilia huyu zombi atakupoteza njia[emoji38] [emoji85]
Tunajua mmeshaanza kukwama sasa mnatembeza bakuli mnaombaomba.. na badooo mtazunguka sana siku hazigandi..Sisi ni Bashite lakini wewe ni mywa viroba. Utasubiri ili tukwame mpaka utazeeka.
Povu hiloTunajua mmeshaanza kukwama sasa mnatembeza bakuli mnaombaomba.. na badooo mtazunguka sana siku hazigandi..
Kibubu kimeshavunjwa hamna kitu..
Oooo tunajenga reli kwa pesa tuliyokusanya...
Ikowapi.. mbona mnatembeza bakuli[emoji83]
Mwafwaaaa[emoji196] [emoji90] [emoji90]
Ndo mana boss wenu anawajua upumbafff wenyu [emoji13] [emoji90] [emoji196]Povu hilo
Wako wapi.. wako wapi wengine...Povu hilo
Dozi hiyo inakutosha leo usije ukaji[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji85] [emoji196]Ninauhakika hilo ni povu. Labda umelewa viroba vikiisha utajiona vizuri.
Ninauhakika hilo ni povu. Labda umelewa viroba vikiisha utajiona vizuri.