Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
karibuni katika kipindi chenu pendwa cha JF search member kutoka kwa host wenu babumawe, kipindi hiki ni maalumu kwa wale waliopotezana na wawapendao ndugu, jamaa, wapenzi na marafiki .either iwe alikuahidi kitu ama hujamsikia siku nyingi ama unampa taarifa yeyote basi karibu hapa kuexpress. unachotakiwa kufanya ni kumtaja mhusika na apatapo ujumbe ni vizuri akaja.
Mimi binafsi namtafuta financial services popote alipo aliniahidi atakuja inbox kwangu tuongee faragha zimepita siku nyingi simuoni popote alipo aje hapa
Mimi binafsi namtafuta financial services popote alipo aliniahidi atakuja inbox kwangu tuongee faragha zimepita siku nyingi simuoni popote alipo aje hapa