KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961
https://www.facebook.com/
Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tangayika kati ya 1954 - 1961.
Mohamed Said ameeleza yale mengi ambayo wanahistoria wenzake hawakupata kuyajua hivyo yamekosekana kufahamika.