Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

Pamoja na ushindi,sijaridhika na jinsi mavugo anavyotupotezea magoli ya wazi vile.Ndala walibebwa kama kawaida ila mbeleko ikakatika.Marefa mara hii acheni mshindi halali apatikane.
 
Reactions: 7ve
Ki ukweli wachezaji Yanga wamechoka na wanahitaji mapumziko!

Mkuu hata Simba SC kwa yale mazoezi ya kupanda na kushuka milima ya mkoa Wa Morogoro kwa mida wiki 3 mfululizo.. nao wanahitaji mapumziko
 
Mkuu ile "sikukuu" yetu ya 01.10.2016 tumeianza rasmi kusherekea leo.
Aya mkuu leo siku yenu,ila ngoja tukutane tuwaoneshe mpira unavyochezwa sio nyinyi mpira wenu wa kubahatisha bahatisha
 
Kumbe sare nayo ni kipigo...Punching bag??...
 
Mikia fc kwa mpira gan mlio cheza leo?
Almost the game was tough
Ila ukosaj wa magor kwa mavugo umedhihirisha kuwa simba inaugonjwa wa kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…