Moderator waliondoe kwenye headingMkuu hilo jina lilinitoka tu.
Mkuu Msimu huu hawa tunawagonga nyingi tuu.. Hebu na hiyo 01.10.2016 ifike mapema.
Yanga hakuna timu pale.. ni mbeleko tu hua zinawasaidia kupata matokeo.
Asante refa wa gemu ya leo, kwa kuzunguka ndani ya sheria 17 za soka
Unaota wewe mkodisho fcHiyo tarehe 1/10/2016: YANGA 3 SIMBA aka MIKIA FC 1
Ujue mi nawashangaa mbwembwe zote hizi fanyeni ikibaki mechi japo moja kwa ligi kuisha sasa mechi tatu na point 7 kelele je mngeshinda mechi zote 3 si tusingekunywa maji.
Hivi kwani kudroo yanga ni ajabu mbona nyie jkt ruvu waliwatoa makamasi mkapumua juu juu.
Hebu tuacheni na yanga yetu.View attachment 395951
Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.<br /><br />Yetu macho na masikio.Mkuu kwa hiyo unatushauri, Mnyama akishinda tuwe tunanyong'onyea?
Ajabu ni waojiita "Wazee Wa Kimataifa' kutoa suti na 'Wamchangani"!!
Sasa katika michuano ya CAF Msimu ujao si mtalitia Taifa aibu kubwa zaidi?
Eeeh Mola tuepushe na hii aibu niionayo.
Bajaji ya udongo isubiri wakati wa masika upate jibu kamili. WAmetangulia kama ilivyo kawaida yao na baiskeli ya miti. Muda sio mrefu wataanza mambo yao. Badala ya viporo kuna kitu kipya watabuni mwaka huu.Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.
Yetu macho na masikio.
We jamaa kumbe tuko pamoja sehemu nyingi[emoji196] [emoji196] [emoji196] vyura FC leo wamesuluhu
MNYAMA SIMBA ANAZID KUNAWIRI
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120]We jamaa kumbe tuko pamoja sehemu nyingi
Mkuu unafikiri wanaishiwa sababu hao.Bajaji ya udongo isubiri wakati wa masika upate jibu kamili. WAmetangulia kama ilivyo kawaida yao na baiskeli ya miti. Muda sio mrefu wataanza mambo yao. Badala ya viporo kuna kitu kipya watabuni mwaka huu.
Hilo halina mjadala hata kidogo.. Simba msimu huu ni bingwa.. Na msimu unaofuata tunaenda "kufukia mashimo" yote mliyoyachimba .Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.
Yetu macho na masikio.
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.
Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.
Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.
Shikamoo Joseph Marius Omog.
Huu mwaka wa ngapi tunashuhudia basikeli za miti na bajaji za udongo?
Mbona hamjifunzi? Omog akimaliza msimu bado yupo Simba, Tanzania itacheza World Cup ijayo!
Hivi Mnyama afanye nini muamini kua sasa ni karejesha yale makali yake ya 2011/2012?Duuh kipofu kaona mwezi ligi yenyewe raundi ya 3,ikifika ya 20 tutamjua mwanaume
Washangiliaji wa kimataifa hata nyinyi mechi moja mmetoka sare so bado msijione ndio machampion wakati mnawazidi wakimataifa mchezo mmoja na point zenu saba.